CHETI CHA USHIRIKI WA MASHARIKI EXPRO
CHETI CHA USHIRIKI WA MASHARIKI EXPRO
11 Sep, 2026
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu COSOTA Bi. Naomi Mungure akikabidhiwa Cheti cha Shukrani cha COSOTA kwa Ushirikiano katika Maandalizi ya Tamasha la Mashariki Creative Economy Expo 2026 Agosti 21,2026.
Tamasha hilo lilianza tarehe 18 – 21 Agosti, 2026 na lilikuwa imelenga kutoa elimu ya hakimiliki kwa Wabunifu na Wasanii mbalimbali pamoja na kutangaza fursa za biashara.
