ELIMU YA HAKIMILIKI
ELIMU YA HAKIMILIKI
11 Sep, 2026
Afisa Hakimiliki COSOTA Bw. Hashimu Lukwele akitoa elimu ya hakimiliki katika semina ya Wasanii wa Muziki, Filamu na Sanaa za Ufundi iliyoandaliwa na taasisi ya Ruge Mutahaba Foundation na Jakaya Mrisho Foundation jijini Dar es Salaam
