MAADHIMISHO YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI
MAADHIMISHO YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI
11 Sep, 2026
Wawakilishi kutoka COSOTA wakiongozwa na Kaimu AfisaMtendaji Mkuu Bi. Naomi Mungure (kushoto) na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Sheria COSOTA Bi. Arafa Mohammed Kikwete (kulia) wakishiriki maadhimisho ya siku ya Kiswahili Duniani yanayofanyika Makao Makuu ya UNESCO tarehe 7 julai, 2026 jijini Paris, Ufaransa.
Hafla hiyo kimataifa imeadhimisha lugha ya kiswahili kama nyenzo ya amani, mshikamano na maendeleo endelevu
