PROF. KHYARARA ATEMBELEA BANDA LA COSOTA
PROF. KHYARARA ATEMBELEA BANDA LA COSOTA
11 Sep, 2026
Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Prof. Godius Khyarara akipatiwa maelezo kuhusiana na Huduma mbalimbali zinazotolewa na Ofisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) katika maonesho ya Kitaifa ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026 Dodoma Juni 21, 2026.
