Mgao wa Mirabaha
Mgao wa Mirabaha
ORODHA YA WANUFAIKA WA MIRABAHA YA JULAI, 2023.
N.B Wanufaika ambao wapo kwenye Orodha hii mnaombwa kufika Ofisi ya COSOTA kuanzia tarehe 24/07/2023 saa 1:30 Asubuhi – 09:30 jioni.
Au upakue fomu ya taarifa za kibenki (vendor form) kwa kujaza taarifa zako na ukathibitishe taarifa zako kwenye benki uliyofungulia akaunti na kuzituma kwa barua pepe barua@cosota.go.tz , kwa maelezo zaidi piga simu 0738015014.
Fomu ya taarifa za kibenki (Vendor form) | Download |
Orodha ya Wanufaika wa Mirabaha wa Julai 2023 kwa njia ya LOGSHEET | Download |
Orodha ya Wanufaika wa Mirabaha ya Julai, 2023 kwa njia ya waliosajiliwa na Kazi | Download |
Jinsi ya kujaza taarifa za kibenki (Vendor form)
1.SECTION A : Jaza taarifa zako binafsi
- Angalizo TIN namba ni lazima , sehemu ya Classification chagua Orther
2.SECTION B: jaza taarifa zako za benki kwa usahihi
3. SECTION C : Hii itajazwa na Ofisi